LIVERPOOL YAKUMBANA NA KIPIGO CHA ‘MBWA KOKO’ KUTOKA KWA ASTON VILLA

- Bingwa Mtetezi wa Ligi Kuu Soka England, Liverpool imekumbana na kipigo kizito cha goli 7-2 kutoka kwa Aston Villa katika mchezo wa Ligi hiyo

- Liverpool ni Bingwa Mtetezi wa kwanza wa Ligi Kuu Soka England kufungwa goli 7 katika mchezo mmoja wa Ligi hiyo tangu Arsenal ifungwe hivyo na Sunderland mnamo Septemba 1953

#JamiiForums #JFSports #JFMichezo #Sports #Michezo

October 04, 2020
3 comments
Avatar
Fixed England 
Futeni hii habari🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wenye timu yao wakiwasikiaaa
Avatar
Wolf fox 
What a shame
Avatar
Ibra Jame 
Wacha wa pigike maana walitucheka mancity tulivofungwa
Do you want to add a new comment?